saa 1 * nm [i-/zi-] 1 hour: Tulisafiri kwa ~ moja we travelled for one hour. 2 watch, clock: ~ ya mkono wrist watch ~ ya ukutani wall clock. (Kar) saa! 2 * ki word expressing wonder, impatience or vexation: Sema ~! speak will you! (Kar) saada* nm [i-/zi-] luck.. saba* nm [i-/zi-]1 seven. 2 week: ~ mbili two weeks. 3 honeymoon.. sababish.a* kt [ele] cause.(tde) sababishia (tdw) sababishwa.
G,g herufi ya saba ya alfabeti ya Kiingereza (US sl) dola elfu moja.. gab n (colloq) porojo.stop your ~ (sl) nyamaza.have the gift of the ~ -wa na kipaji cha kuzungumza.vt (colloq) piga porojo.~by adj-enye porojo.. gabardinegaberdine n gabadini: aina ya kitambaa cha sufu laini na imara.. gabble vt,vi sema upesi upesi bila kutamka vizuri maneno, tatanika (of traditional doctor) rogonya.
13 Kuwasilisha kwa usahihi hali ya kitenzi cha Kiebrania katika Kiingereza ni jambo la maana sana ama sivyo, maana yaweza kupotoshwa na wazo lililo tofauti kabisa kutolewa. jw2019 On the other hand, the verb in Genesis 2:3 is in the perfect state, but in order to harmonize with Ge 2 verse 2 and Hebrews 4:4-7, it is translated he has been …
en Endure sw Kazi zao za jasho katika Mashariki zilikuwa zimewakumbusha Yakobo 1:2-4, HNWW: Ndugu zangu, mwe na furaha [shangwe, NW] mnapopatwa na majaribu mbalimbali, kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili , itawapatieni uvumilivu., Zaidi ya hayo, uwasiliano ulifanywa hasa katika yale matamko yenye kuchukiza na ya kiupuzi ya ile iitwayo eti Kiingereza cha kuvunjia, kilichowalazimisha wenyeji wafuate lugha ya wageni. jw2019 He acknowledged that he received power beyond what is normal from God. 2 Corinthians 4:7-9.
sw Vivyo hivyo, taarifa ya Yesu chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka ni yenye maana zaidi tunapofikiria sehemu ya wakati inayohusika. jw2019 en Similarly, Jesus statement my food is for me to do the will of him that sent me takes on added meaning when we consider the time element involved.
sw Matukio yaliyo ya maana zaidi kufikia hapo katika historia ya ainabinadamu yalifunguka wakati Mesiya alipotimiza kwa uaminifu hapa duniani mapenzi ya Baba yake. jw2019 en The most important events thus far in the history of mankind unfolded as the Messiah faithfully carried out here on earth the will of his Father.
sw Kwa maana hamkupokea roho ya utumwa inayosababisha hofu tena, bali mlipokea roho ya tendo la kufanywa kuwa wana, roho ambayo kwayo twapaaza kilio: Abba, Baba!Waroma 8:14, 15. jw2019 en For you did not receive a spirit of slavery causing fear again, but you received a spirit of adoption as sons, by which spirit we cry out: Abba …
Miongozo ya kale iliyoandikwa katika katakombu ya karne ya tano hadi ya tisa, ambayo ilitayarishwa ili kuongoza wageni kwenye maziara mashuhuri, iliandaa vidokezi vyenye thamani kwa wasomi ambao, katika karne ya 17 na halafu ya 19, walianza kutafuta, kutambulisha, na kuchunguza makaburi yaliyofichwa na magofu na mimea.
sw Adabu Nzuri: Ni jambo la maana kwamba wote wanaohudhuria mkusanyiko wawe na adabu nzuri, wakiona kwa kicho chenye staha mahali pa mkusanyiko kuwa nyumba ya Mungu. jw2019 en Proper Decorum: It is important that all attending the convention observe proper decorum, reverentially viewing the place of assembly as the house of God.